
Maoni ya watumiaji
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania-dar-es-salaam
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Kwangu imekuwa na mchango mkubwa Kwa kuweza kunipa ushauri wa kitaaluma zaidi na kujua mengi zaidi
14 Aprili 2025, 21:37:56
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, dar es salam
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio nimepata msaada mara kwamara na ushauri pindi ninapo tumia
12 Aprili 2025, 09:49:17
Nchi na mkoa ulipo
Kigoma
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio.
Imeboresha masuala ya afya ya yangu ya uzazi, napata makala ya tiba lishe na dawa kwa magonjwa mbalimbali.
12 Aprili 2025, 14:26:01
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania Kigoma
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndy imenisaidia sana na nashukur sana kwa ajili ya tovut hii
11 Aprili 2025, 11:58:33
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Pwani
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Kiukweli imekua na msaada kwangu nilipo jaribu.
12 Aprili 2025, 10:47:21
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania pemba
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio ni msaada kwang