
Maoni ya watumiaji
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Morogoro
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio, ninasoma na kuelewa dalili zangu na pia nafahamu kuhusu dawa. Nauliza maswali pia na kujibiwa vema
30 Juni 2023, 13:11:26
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania mkoa tabora
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Inanifanya nipate elim kuhusu afya, na nnatambua mambo mengi ya ki afya kupitia tovuti hii.
1 Juni 2021, 09:10:34
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania,Dar es salaam
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
ndy haswa pale nilipo patwa na tatizo la fangasi sehemu za sili
15 Juni 2023, 20:34:40
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Tanga
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio kwa sababu nimepata maelezo ya jinsi ya kujitibu ugonjwa wangu.
31 Mei 2021, 10:51:54
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania ,Kagera
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Nilikua sijawahi kutumua tovuti hii
11 Juni 2021, 11:02:25
Nchi na mkoa ulipo
Tz tanga
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio nimekua nadalili za magonjwa fulani Mimi mwenyewe nafamilia yangu .najirani. nikafanya maulizo mengi tu nakupata ufumbuzi.