top of page

Mazoezi  kwa ajili ya maumivu ya shingo

​

Imeandikwa na madaktari wa uly clinic

​

Ukiwa unafanya mazoezi haya hakikisha unapumua vema wakati wote wa mazoezi

​

Mazoezi ya kupunguza maumivu ya singo

  • Ukiwa umekaa au Simama wima, kwa taratibu rudisha kidevu nyuma mpaka masikio yako yakae sambamba na mabega

  • Shikilia hapo kwa sekunde5. Rudia mara tano, na fanya hivi mara 3 kwa siku

  • Angalia. Fikilia kujiongeza urefu kwa kufanya zoezi hili

                                                                                 

Upinzani kwenye misuli ya levetor scapular

  • Kuweka ukinzani kwa sekunde 30 hadi 60

  • ukiwa umekaa kwenye kiti

​

Madhumuni ya mazoezi ni kupunguza maumivu , sana sana maumivu ya shingo yanayoelekea mabegani, na mikononi. Mazoezi haya husababisha maumivu kutoka kwenye mabega na mikono kuelekea shingoni, ni vema kufuatilia maumivu haya wakati wa mazoezi yanapoeendelea ili kujua kama unafanya mazoezi yanayokusaidia.

​

Mazoezi mengine ya shingo yanapatikana kwa kwa njia ya video.

​

Mazoezi ya kukaza msuli wa scalene

​

​

Toleo la 3

Imeboreshwa 23/12/2018

bottom of page