Mwandishi:
ULY CLINIC
17 Mei 2020, 16:56:43
Umuhimu wa kulala upande mmoja na jinsi ya kulizoea pozi hili
Kulalia upande mmoja wa mwili ni pozi zuri linaloondoa msongo mgongoni na huruhusu damu kwa wingi kwenda kwa mtoto kutoka kwa mama. Weka mto katikati ya miguu yako ili uhimili uzito wa mguu wa juu na kupunguza maumivu ya mgongo. Tumia mto mwingine kuuweka mbele ya tumbo ili kushikiria uzito watumbo lako na mto mwingine nyuma ya mgongo ili kusaidia kushikiria mgongo wako. Angalia picha mojawapo kwa maelezo zadi.
Muulize daktari wako siku zote endapo mazoezi haya yatakufaa kulingana na hali ya afya yako.
ULY clinic inakukaribisha kwa ushauri na Tiba. Wasiliana nasi kupitia namba za simu au bonyeza kitufe cha ‘Pata Tiba’ chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
1 Oktoba 2021
American Pregnancy Association. Sleeping positions during pregnancy. Imechukuliwa 28.04.2020
National Sleep Foundation. The best position for sleep during pregnancy.Imechukuliwa 28.04.2020
National Posture Institute. Incorporating NPI’s 4 points of posture during pregnancy and postpartum. Imechukuliwa 28.04.2020
https://www.pregnancyexercise.co.nz/products/fit2birthmum/. Imechukuliwa mara ya mwisho 3.06.2020
Malposition and malpresentantio. https://www.gfmer.ch/Obstetrics_simplified/malpresentations_and_malposition.htm. Imechukuliwa 04.06.2020
Ocipitalposterior.https://www.uptodate.com/contents/occiput-posterior-position. Imechukuliwa 04.06.2020
Pushing the baby out.https://www.whattoexpect.com/pregnancy/labor-and-delivery/childbirth-stages/pushing-and-delivery.aspx. Imechukuliwa 06.06.2020
NCBI. When and where to puch. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC1804305/. Imechukuliwa 06.06.2020
Pushing during labor more isint better. https://www.parents.com/pregnancy/giving-birth/labor-and-delivery/pushing-during-labor-more-isnt-better/. Imechukuliwa 06.06.2020