Mwandishi:
ULY CLINIC
28 Mei 2020 11:57:04
Namna ya kufanya Mazoezi hatua kwa hatua- sehemu ya 1
Mazoezi yanafahamika kutuliza mwili, mwongozo ufuatao utakusaidia kwenye mazoezi yako.. Kwenye zoezi la 1 hadi 4, hakikisha unahesabu 1,2,3 baada ya kila zoezi kabla ya kuhamia zoezi jingine. Baada ya kila zoezi vuta pumzi kwa kina kisha kuendelea kupumua kawaida na kuhakikisha kifua kinajongea kama kawaida.
Naweza kuendelea na mazoezi mengine?
Fanya mazoezi haya kisha endapo una nguvu endelea na mazoezi sehemu ya pili katika kurasa inayofuata
Muulize daktari wako siku zote endapo mazoezi haya yatakufaa kulingana na hali ya afya yako.
ULY clinic inakukaribisha kwa ushauri na Tiba. Wasiliana nasi kupitia namba za simu au bonyeza kitufe cha ‘Pata Tiba’ chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
1 Oktoba 2021
American Pregnancy Association. Sleeping positions during pregnancy. Imechukuliwa 28.04.2020
National Sleep Foundation. The best position for sleep during pregnancy.Imechukuliwa 28.04.2020
National Posture Institute. Incorporating NPI’s 4 points of posture during pregnancy and postpartum. Imechukuliwa 28.04.2020
https://www.pregnancyexercise.co.nz/products/fit2birthmum/. Imechukuliwa mara ya mwisho 3.06.2020
Malposition and malpresentantio. https://www.gfmer.ch/Obstetrics_simplified/malpresentations_and_malposition.htm. Imechukuliwa 04.06.2020
Ocipitalposterior.https://www.uptodate.com/contents/occiput-posterior-position. Imechukuliwa 04.06.2020
Pushing the baby out.https://www.whattoexpect.com/pregnancy/labor-and-delivery/childbirth-stages/pushing-and-delivery.aspx. Imechukuliwa 06.06.2020
NCBI. When and where to puch. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC1804305/. Imechukuliwa 06.06.2020
Pushing during labor more isint better. https://www.parents.com/pregnancy/giving-birth/labor-and-delivery/pushing-during-labor-more-isnt-better/. Imechukuliwa 06.06.2020