top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

1 Mei 2020, 15:25:18

Pozi sahihi la kukaa kwa mjamzito
Pozi sahihi la kukaa kwa mjamzito
Pozi sahihi la kukaa kwa mjamzito
Pozi sahihi la kukaa kwa mjamzito

Pozi sahihi la kukaa kwa mjamzito

Kufahamu namna ya kukaa pozi sahihi wakati wa ujauzito huwa ni jambo la msingi sana. Ili kufanikisha jambo hili unatakiwa kufanya mambo yafuatayo;


  • Ukiwa umekaa kwenye kiti hakikisha mgongo unagusa kiti na umekaa karibu na meza ,usiache nafasi kati ya mgongo na kiti na pia kuwe na nafasi ndogo kati ya tumbo na meza kama inavyoonekana kwenye picha

  • Unapokaa kwenye kiti kaa wima na usilale kuacha nafasi kati ya mgongo na kiti

  • Kaa kwenye kiti kinachotosheleza kubeba mapaja yako

  • Kaa kwenye kiti ambacho magoti yako yapo usawa mmoja na nyonga

  • Usikunje nne kwenye pozi hili la kukaa, kufanya hivyo kutapunguza mzunguko wa damu

  • Ikitokea umekaa kwenye mkeka, hakikisha umeegesha mgongo ukutani au kwenye mti

Muulize daktari wako siku zote endapo mazoezi haya yatakufaa kulingana na hali ya afya yako.

ULY clinic inakukaribisha kwa ushauri na Tiba. Wasiliana nasi kupitia namba za simu au bonyeza kitufe cha ‘Pata Tiba’ chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

1 Oktoba 2021

Rejea za mada hii;

  1. American Pregnancy Association. Sleeping positions during pregnancy. Imechukuliwa 28.04.2020

  2. National Sleep Foundation. The best position for sleep during pregnancy.Imechukuliwa 28.04.2020

  3. National Posture Institute. Incorporating NPI’s 4 points of posture during pregnancy and postpartum. Imechukuliwa 28.04.2020

  4. https://www.pregnancyexercise.co.nz/products/fit2birthmum/. Imechukuliwa mara ya mwisho 3.06.2020

  5. Malposition and malpresentantio. https://www.gfmer.ch/Obstetrics_simplified/malpresentations_and_malposition.htm. Imechukuliwa 04.06.2020

  6. Ocipitalposterior.https://www.uptodate.com/contents/occiput-posterior-position. Imechukuliwa 04.06.2020

  7. Pushing the baby out.https://www.whattoexpect.com/pregnancy/labor-and-delivery/childbirth-stages/pushing-and-delivery.aspx. Imechukuliwa 06.06.2020

  8. NCBI. When and where to puch. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC1804305/. Imechukuliwa 06.06.2020

  9. Pushing during labor more isint better. https://www.parents.com/pregnancy/giving-birth/labor-and-delivery/pushing-during-labor-more-isnt-better/. Imechukuliwa 06.06.2020

bottom of page