Baada ya miezi minne ya kwanza ya ujauzito, kulalia mgongo kwa muda mrefu kunatakiwa kuepukwa, hii ni kwa sababu uzito wa mtoto na mfuko wa uzazi hugandamizi mishipa mikubwa ya damu
Kujikunja, kunyanyua vitu na kufanya kazi ukiwa umesimama
Una hatari ya kupata msongo mgongoni wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua, hii ni kwa sababu ya mabadiliko ya homoni wakati huu ambayo hulainishamaungio ya mwili na ligament zinazoshikiria maungio hayo.