Ukiwa kwenye hali ya kawaida, mjongeo wa kifua na upumuaji hufanyika kawaida kulinga na mahitaji ya mwili wako na unavyopenda. Wakati wa ujauzito, mtoto tumboni hukua na huchukua nafasi ya kutosha kiasi cha kupunguza nafasi kwa ajili ya kupumua vema.