top of page
Mazoezi ya kujiandaa mwili dhidi ya leba na kujifungua salama

Namna sahihi ya kusukuma mtoto
Kuvuta pumzi kwa kina ni jambo la kwanza linachotakiwa ili kusaidia juhudi za kusukuma mtoto. Kwenye hatua ya pili ya leba (uchungu) utatakiwa kusukuma mtoto ili aweze kutoka kirahisi, kumbuka ili kupata nguvu zenye ufanisi, unatakiwa kuvuta pumzi kwa kina kiasi na si kwa kina sana.
bottom of page