Mazoezi ya watu maalumu
Makala hii inatolewa hapa kwa malengo ya kukupa taariza za elimu tu. Kama ukipata shida dhidi ya mazoezi haya au ugumu wa kufanya mazoezi haya, acha mara moja na wasiliana na mtaalamu wa afya wako. Wasiliana na mtaalamu wa afya wa mazoezi ili akuambie mazoezi kulingana na hali yako ya kiafya
​
Kabla ya kuanza mazoezi unatakiwa unatakiwa kuchagua mazoezi sahihi kwa ajili yako
Wataalamu wa maumivu wanakubali kwamba kuchagua mazoezi sahihi huweza kupunguza maumivu sugu ya mwili. Mazoezi na kazi za kushugulisha mwili zinaweza kusaidia kutojirudia kwa maumivu hapo mbeleni. Mazoezi haya yatakufanya upone haraka na kurudia hali yako ya awali. Kumbuka ni vema kutathmini maumivu yako wakati unafanya mazoezi. Endapo utapata maumivu zaidi au ugumu kifanya haya mazoezi, acha mara moja na wasiliana na daktari wako
​
Bonyeza kuchagua aina ya tatizo ulilonalo kisha anza kufanya mazoezi , kumbuka
​
Mazoezi ya kupunguza/kuondoa maumivu sugu ya mgongo wa chini
Mazoezi ya kupunguza/kuondoa maumivu ya shingo
Mazoezi ya kulegeza viungo vya mwili vilivyo kakamaa
Mazoezi ya kuondoa maumivu ya mwili mzima
Mazoezi ya kukaza Uke uwe mdogo
Mazoezi ya kurefusha uume
Mazoezi ya pilate
Mazoezi ya yoga
​
Kusoma au kupata makala kuhusu mazoezi mengine tafadhari tutembelee au tutumie email au meseji kupitia namba zetu. Wataalamu wetu wapo tayari kukusaidia.
​
Weka application yetu ya 'ULY CLINIC" kwenye simu yako ya android ili kuwa unapata makala na vidokezo mbalimbali vya kiafya bure pamoja na kumwelezea daktari au mtaalamu mwingine wa afya kama bado hujaiwea bonyeza hapa
​
​