Metronidazole
Ni dawa iliyo kwenye kundi la nitroimidazole.
Majina mengine ya dawa ni yapi?
Majina mengine ya dawa hii ni Flagyl, Flagyl ER, Flagyl IV RTU
Rangi ya dawa ni ipi?
Rangi ya dawa inatofautiana kuligana na kiwanda, huweza kuwa ya rangi ya njano, nyeupe, brown, bluu n.k
Dozi na matumizi
Dozi huweza kupatikana kwa mfumo wa
-
Tembe ya miligramu 375
-
Kidonge cha miligramu 200 na 250, 750
-
Dripu ya miligramu 500 kwa kila mililita 100
Matumizi
Matumizi ya dawa hii ni kutibu;
-
Maambukizi ya bakteria wa anaerobiki
-
Magonjwa ya zinaa ikitumiwa na dawa zingine
-
Vaginosis ya bakteria
-
Maambukizi baada ya upasuaji wa colorekto
-
Maambukizi ya trichomoniasis
-
Maambukizi ya amoebiasis
-
Maambukizi ya gardinela
-
Maambukizi ya Helikobakter pairoli
-
Urethritis isiyo ya kisonono
-
Magonjwa ya michomo kwenye ndani ya oganiza nyonga kutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa
Dozi inatakiwa rekebishwa kwa wagonjwa wafuatao
Mwingiliano na dawa zingine
Dawa hii hairuhusiwi kutumika kabisa pamoja na dawa hizi hapa
-
Dronabinol
-
Flibanserin
-
Lomitapide
Dawa hii ikitumika na hizi zinaweza kuleta mdhara makubwa
-
Avapritinib
-
Axitinib
-
Bcg vaccine live
-
Bosutinib
-
Cholera vaccine
-
Cobimetinib
-
Dihydroergotamine
-
Dihydroergotamine intranasal
-
Disulfiram
-
Dronedarone
-
Eliglustat
-
Entrectinib
-
Ergotamine
-
Erythromycin base
-
Erythromycin ethylsuccinate
-
Erythromycin lactobionate
-
Erythromycin stearate
-
Everolimus
-
Fentanyl
-
Fentanyl intranasal
-
Fentanyl transdermal
-
Fentanyl transmucosal
-
Ivabradine
-
Lemborexant
-
Lovastatin
-
Mebendazole
-
Midazolam intranasal
-
Naloxegol
-
Neratinib
-
Olaparib
-
Pimozide
-
Propylene glycol
-
Ranolazine
-
Silodosin
-
Simvastatin
-
Siponimod
-
Sirolimus
-
Tazemetostat
-
Tolvaptan
-
Typhoid vaccine live
-
Venetoclax
-
Warfarin
Dawa hii ikitumika na dawa zifuatazo mgonjwa anatakiwa kuangaliwa kwa karibu ili kuzuia madhara yanayoweza kujitokeza;
-
Acalabrutinib
-
Alitretinoin
-
Almotriptan
-
Alprazolam
-
Amifampridine
-
Amiodarone
-
Aprepitant
-
Aripiprazole
-
Artemether/lumefantrine
-
Atorvastatin
-
Avanafil
-
Bazedoxifene/conjugated estrogens
-
Bortezomib
-
Brexpiprazole
-
Budesonide
-
Buprenorphine subdermal implant
-
Buprenorphine, long-acting injection
-
Buspirone
-
Cabozantinib
-
Cannabidiol
-
Carbamazepine
-
Carvedilol
-
Cholestyramine
-
Cilostazol
-
Cinacalcet
-
Clobetasone
-
Clopidogrel
-
Clozapine
-
Conivaptan
-
Conjugated estrogens
-
Conjugated estrogens, vaginal
-
Cortisone
-
Cyclosporine
-
Darifenacin
-
Darunavir
-
Dasatinib
-
Deflazacort
-
Dexamethasone
-
Diazepam
-
Diazepam intranasal
-
Digoxin
-
Eletriptan
-
Erlotinib
-
Estradiol
-
Estrogens conjugated synthetic
-
Estropipate
-
Ethanol
-
Ethinylestradiol
-
Ethotoin
-
Etonogestrel
-
Etravirine
-
Felodipine
-
Fesoterodine
-
Fludrocortisone
-
Fluorouracil
-
Fosamprenavir
-
Fosphenytoin
-
Guanfacine
-
Hydrocortisone
-
Hydroxyprogesterone caproate
-
Ibrutinib
-
Ifosfamide
-
Iloperidone
-
Indinavir
-
Isoniazid
-
Ivacaftor
-
Ivosidenib
-
Ixabepilone
-
Lapatinib
-
Levamlodipine
-
Levonorgestrel oral/ethinylestradiol/ferrous bisglycinate
-
Lopinavir
-
Loratadine
-
Losartan
-
Lumefantrine
-
Maraviroc
-
Mefloquine
-
Mestranol
-
Methadone
-
Methylprednisolone
-
Midazolam
-
Naldemedine
-
Nateglinide
-
Nelfinavir
-
Nicardipine
-
Nilotinib
-
Nisoldipine
-
Palbociclib
-
Parecoxib
-
Pazopanib
-
Phenytoin
-
Prednisolone
-
Prednisone
-
Quetiapine
-
Quinidine
-
Repaglinide
-
Rimegepant
-
Ritonavir
-
Ruxolitinib
-
Saquinavir
-
Sodium picosulfate/magnesium oxide/anhydrous citric acid
-
Solifenacin
-
Sonidegib
-
Sufentanil sl
-
Sulfamethoxazole
-
Sunitinib
-
Suvorexant
-
Tacrolimus
-
Tadalafil
-
Tamoxifen
-
Tamsulosin
-
Temsirolimus
-
Tezacaftor
-
Theophylline
-
Tinidazole
-
Tipranavir
-
Tofacitinib
-
Tolterodine
-
Trabectedin
-
Trazodone
-
Dawa ya kuchoma ya triamcinolone acetonide
-
Triazolam
-
Vardenafil
-
Verapamil
-
Warfarin
-
Zanubrutinib
Dawa hii ikitumika na dawa zifuatazo inaweza kuleta madhara madogo;
-
Acetaminophen
-
Acetaminophen iv
-
Acetaminophen rectal
-
Alfentanil
-
Alfuzosin
-
Alosetron
-
Amitriptyline
-
Armodafinil
-
Atazanavir
-
Balsalazide
-
Biotin
-
Bosentan
-
Celecoxib
-
Cevimeline
-
Clarithromycin
-
Clomipramine
-
Dapsone
-
Desipramine
-
Diclofenac
-
Didanosine
-
Disopyramide
-
Docetaxel
-
Donepezil
-
Dutasteride
-
Efavirenz
-
Eplerenone
-
Estradiol vaginal
-
Ethanol
-
Eucalyptus
-
Finasteride
-
Flurbiprofen
-
Fluvastatin
-
Galantamine
-
Ibuprofen
-
Ibuprofen iv
-
Imatinib
-
Imipramine
-
Irinotecan
-
Irinotecan liposomal
-
Isradipine
-
Itraconazole
-
Ketoconazole
-
Lithium
-
Meloxicam
-
Montelukast
-
Nifedipine
-
Nimodipine
-
Nitrendipine
-
Nitroglycerin iv
-
Oxybutynin
-
Paclitaxel
-
Paclitaxel protein bound
-
Pantothenic acid
-
Parecoxib
-
Pimozide
-
Pioglitazone
-
Piroxicam
-
Propafenone
-
Pyridoxine
-
Pyridoxine (antidote)
-
Quinine
-
Ramelteon
-
Saxagliptin
-
Sufentanil
-
Sulfamethoxazole
-
Thiamine
-
Tolbutamide
-
Troleandomycin
-
Vesnarinone
-
Vinblastine
-
Vincristine
-
Vincristine liposomal
-
Vinorelbine
-
Voriconazole
-
Zaleplon
-
Ziprasidone
-
Zolpidem
-
Zonisamide
Maudhi madogo ya dawa
-
Kupoteza hamu ya kula
-
Kupata Maambukizi ya kandida
-
Kuharisha
-
Kizunguzungu
-
Maumivu ya kichwa
-
Kutapika
-
Kupata Mkojo uliopauka
-
Mwitikio wa disulfiram ikitumiwa pamoja na pombe
-
Mzio
-
Nutropenia
-
Ladha ya metaliki
-
Nuropathi
-
Pakreatitis
-
Degedege
-
Thromboflebaitis
-
Zerostomia
-
Ensefalopathi
-
Meninjaitis ya aseptiki
-
Nuropathi ya optik
-
Sindrome ya stevens Johnson
-
Necrosis ya Epidemo
-
Kupungua kwa hamu ya tendo la kujamiana
-
Maumivu wakati wa kukojoa
-
Proktaitiz
-
Maumivu ya maungio ya mwili
-
Saikosis
-
Kwikwi
-
Ugonjwa wa crohn’s
Marufuku
-
Kutumika kwa wagonjwa wenye mzio na dawa hii au dawa zilizo kwenye kundi la nitroimidazole
-
Kwenye ujauzito, kipindi cha kwanza na cha pili
-
Tahadhari
-
Degedege na meningitiz ya aseptik huweza tokea endapo dawa itaongezwa dozi au kutumika kwa muda mrefu.
-
Kuna wagonjwa waliokwisha pata ensefalopathi na nuropathi ya pembeni
-
Ensefalopathi iliyolipotiwa ilikuwa inahusiana na dalili za ataksia, kizunguzungu na disiathria. Dalili hizi huisha wiki kadhaa tangu dawa imesimamishwa kutumika.
-
Nuropathi ya pembeni ambayo huwa ni ya sensori huleta dalili za kufa ganzi au kuchomachoma kwa miguu
-
Kutumia dawa hii bila kuwa na ugonjwa uliothibitishwa kunaongeza kupata usugu wa vimelea vya bakteria na parasaiti mwilini mwako bila kuwa na faida yoyote kwako.
Mambo ya kufahamu
-
Matumizi ya muda mrefu yanaweza kukusababishia maambukizi makali
-
Tumia kwa umakini kwa mgonjwa mwenye figo iliyoferi, moyo kuferi, maambukizi ya H.Pyroli, na ini kuferi, wagonjwa wa agranulosaitosisi, leukopenia, na neutropenia
-
Acha kutumia pombe endapo unatumia dawa hii na kwa angalau siku tatu baada ya kuacha kutumia hii dawa.
-
Dawa hii inaweza kusababisha kukua kwa matiti kwa wanaume( gainekomastia)
-
Wagonjwa wenye maambukizi ya kandida, maambukizi hayo yanaweza kuongezeka Zaidi wakati wa matumizi ya dawah ii, hivyo ni vema mtu akatumia dawa za kutibu kandida
Matumizi kipindi cha ujauzito
-
Hakuna tafiti za kutosha za kuthibitisha madhara katika ujauzito. Tafiti zilizofanyika zinaonyesha kuwa matumizi ya dawa hizi wakati wa ujauzito haswa kipindi cha kwanza huongeza hatari ya kupata Watoto wenye mdomo sungura.
-
Dawa ya metronidazole huingia kwa mtoto kupitia kondo la nyuma, madhara kwenye uumbaji wa mtoto bado hayafahamiki. Tafiti zilizofanyika kwa panya pia hazionyeshi madhara kwa kichanga. Mtaalamu wa afya anatakiwa kuzingatia faida na harasa kwenye matumizi na kufikiria kuhusu madhara yanayoweza kujitokeza.
Maziwa ya mama
-
Dawa hii huingia kwenye maziwa ya mama na hivyo mtoto anaweza kuipata kwa kunyonya maziwa na kiwango chake kwenye damu kikawa sawa na cha kwenye damu ya mama.
-
Kwa sababu ya madhara yake ya kusababisha uvimbe yaliyoonekana kwenye tafiti zilizofanyika kwa panya, mtaalamu wa afya unapotumia dawa hii kumbuka kuzingatia faida za matumizi kwa mama dhidi ya madhara yanayoweza kujitokeza kwa mtoto. Unaweza kuacha kutumia dawa hii kipindi cha dozi yote na masaa 24 toka kuacha kutumia dawa kabla ya kumruhsu mgonjwa kunyonyesha mtoto.
Imeboreshwa 12.03.2020