Nguvu za kiume 2
Mkusanyiko wa sumu mwilini zinazochangiauharibifu katika mishipa ya damu huweza kupunguzwa na matumizi ya sharubati za matunda mbalimbali na hivyo kuimarisha ufanyaji wa tendo la ndoa.
Mwandishi:
Dkt. Lameck I, TA
Mhariri:
Dkt. Mangwella S, MD
28 Desemba 2021 08:26:26
01
Kifungua kinywa
Asubuhi
Sharubati ya nguvu
Viambato:
Stroberi
Embe
Sharubati ya limau
Unga wa vanilla
Sukari guru
Faida
Kila mililita 250 ya sarubati hutoa nishati ya kaloli 115
Husafisha na kuzuia ongezeko la sumu ya oksijeni mwilini
Huandaa mwili kwa mapenzi
Katikati ya asubuhi na mchana
Sharubati ya zabibu
Viambato:
Zabibu za kijani au za rangi ya zambarau
Faida
Kila mililita 250 ya sharubati hutoa nishati yenye kaloli 98
Huondoa sumu ya oksijeni kwenye damu
02
Project Name
This is your Project description. Provide a brief summary to help visitors understand the context and background of your work. Click on "Edit Text" or double click on the text box to start.
03
Project Name
This is your Project description. Provide a brief summary to help visitors understand the context and background of your work. Click on "Edit Text" or double click on the text box to start.
04
Mlo wa jioni
Sharubati ya upendo
Viambato:
Nanasi
Maziwa ya nazi
Ndizi
Faida
Kila mililita 250 ya sharubati hutoa nishati yenye kalori 162
Huamsha upendo
Upungufu wa nguvu za kiume
Moja ya ishara za kuzeeka ni kupungua kwa uwezo wa kujamiana ama kukosa hamu au nguvu za kuleta utosherevu kwa mpenzi. Hali hii inaweza kutokea katika umri wowote, hivyo vijana wanaweza kunufaika na tiba hii ya kucherewesha uzee.
Wakati gani wa kutumia sharubati ya nguvu za kiume 2
Mahusiano ya kujamiana kwa wanaume na wanawake wa umri wote huboreshwa wakitumia aina hii ya mlo ulioainishwa kwenye makala hii.
Njia zingine za kuongeza hamu na uwezo wa tendo la ndoa
Wanawake na wanaume wanaweza kuchelewesha uzee kwa;
Kutumia tiba ya kusafisha au kuzimua sumu
Kuongeza ulaji wa matunda na mboga zinazodhibiti ongezeko la sumu ya oksijeni
Kuacha matumizi ya tumbaku
Kuacha matumizi ya vileo
Kuacha matumizi ya dawa za kulevya
Kulala kwa muda wa kutosha
Kuepuka msongo wa mawazo
Kuepusha msongo wa kimwili
Kuwa na mtazamio chanya katika maisha
Kina nani wanaweza kutumia tiba hii?
Watu wapatao uzee haraka
Watu wanaokosa hamu au nguvu ya tendo la ndoa
Watu wanaopungukiwa utendaji wao kimwili na kiakili
Imeboreshwa;
28 Desemba 2021 08:32:04
Rejea za mada hii:
Das S, et al. Antiaging properties of a grape-derived antioxidant are regulated by mitochondrial balance of fusion and fission leading to mitophagy triggered by a signaling network of Sirt1-Sirt3-Foxo3-PINK1-PARKIN. Oxid Med Cell Longev. 2014;2014:345105. doi: 10.1155/2014/345105. Epub 2014 Jan 12. PMID: 24669285; PMCID: PMC3942197.
Lekli, et al. “Longevity nutrients resveratrol, wines and grapes.” Genes & nutrition vol. 5,1 (2010): 55-60. doi:10.1007/s12263-009-0145-2