Tiba ya kuongeza uzito
Sharubati na rojorojo zenye kalori nyingi na virutubisho huupa mwili nishati ya kutosha na kusababisha kuongezeka kwa uzito huku mtu akiwa anapata vijenzi vya kiafya.
Mwandishi:
Dkt. Lameck P, AN
Mhariri:
Dkt. Benjamin M, MD
25 Desemba 2021 12:01:45
01
Kifungua kinywa
Asubuhi
Rojorojo Makini Tamu
Viambato:
Ndizi
Stroberi
Maziwa ya nazi
Kimea cha ngano
Asali
Maziwa ya shairi
Faida
Kila milimita 250 inayo nywea hutua nishati yenye kalori 224
Huupa mwili sukari ya asili na vitamiani zinazoimarisha mfumo wa neva dhidi ya wasiwasi
Katikati ya asubuhi
Sharubati ya nguvu mpya
Vimbato:
Mtindi wa soya
Stroberi
Sharubati ya nanasi
Almond
Faida
Kila milimita 250 inayonywea hutoa nishati yenye kalori 178
Mchanganyiko huwa na uwiano mzuri wa protini, vitamin, na madini yenye nishati ya kutosha
Hukabiliana na upungifu wa uzito sababu ya msongo
Hufaa kwa wanaofanya mafunzo mazito ya riadha
Hufaa kwa Mgonjwa anayepona au alieyedhoofika
02
Project Name
This is your Project description. Provide a brief summary to help visitors understand the context and background of your work. Click on "Edit Text" or double click on the text box to start.
03
Project Name
This is your Project description. Provide a brief summary to help visitors understand the context and background of your work. Click on "Edit Text" or double click on the text box to start.
04
Mlo wa jioni
Viambato:
Maziwa ya mchele
Ndizi
Embe
Kimea cha ngano
Unga wa mdalasini
Faida zake
Kila milimita 250 inayonywewa hutoa nishati yenye kalori 177
Huthibiti uwezo wa kutanuka kwa mishipa ya ateri inapoongezewa nguvu
Maelezo ya ziada kuhusu chakula cha kuongeza uzito
Tofauti na inavyotokea kwa watu walio wengi ,baadhi ya watu hhupungua uzito licha ya kula chakula cha kutosha. Kwa baadhi ya watu, kisababishi cha kupunguza uzito huwa hakijulikani, na waliobaki visababishi huwa kama vile magonjwa ya mmeng´enyo wa chakula na mengine.
Kumbuka:
Ukipungua uzito bila sababu ya msingi, unapaswa kuwasiliana na daktari kwa uchunguzi kwani inaweza kuwa ishara ya ugonjwa unaopaswa kupata tiba ya haraka.
Njia zingine za kuongeza uzito
Waweza kuongeza uzito kwa njia nyingine kama vile;
Kula wanga wa kutosha
Kupunguza ulaji wa mboga za majani kama ndizo hubeba sehemu kubwa mlo wako
Zingatia ratiba ya kula
Ondoa hofu iliyopitiliza
Zuia miingiliano wakati wa kula
Imeboreshwa;
27 Desemba 2021 08:07:04
Rejea za mada hii:
Freire RH, et al. Wheat gluten intake increases weight gain and adiposity associated with reduced thermogenesis and energy expenditure in an animal model of obesity. Int J Obes (Lond). 2016 Mar;40(3):479-86. doi: 10.1038/ijo.2015.204. Epub 2015 Oct 7. PMID: 26443339.
Sawada K, et al. Relationship between rice consumption and body weight gain in Japanese workers: white versus brown rice/multigrain rice. Appl Physiol Nutr Metab. 2019 May;44(5):528-532. doi: 10.1139/apnm-2018-0262. Epub 2018 Oct 12. PMID: 30312545.
Aller, et al. “Starches, sugars and obesity.” Nutrients vol. 3,3 (2011): 341-69. doi:10.3390/nu3030341.
Shamsi-Goushki, et al. “Effects of High White and Brown Sugar Consumption on Serum Level of Brain-Derived Neurotrophic Factor, Insulin Resistance, and Body Weight in Albino Rats.” Journal of obesity & metabolic syndrome vol. 29,4 (2020): 320-324. doi:10.7570/jomes20037