Kama ndani ni ya ngozi ni kuchafu, ngozi hitakuwa na mwenekano mzuri kwa kuwa uzuri wa ngozi huanzia ndani kuja nje. Kula mlo wa kiafya kwa ajili ya ngozi kutakufanya kuwa na mwonekano mzuri zaidi.
Mkusanyiko wa sumu mwilini zinazochangiauharibifu katika mishipa ya damu huweza kupunguzwa na matumizi ya sharubati za matunda mbalimbali na hivyo kuimarisha ufanyaji wa tendo la ndoa.
Mkusanyiko wa sumu mwilini zinazochangia uzee wa haraka huweza kupunguzwa na matumizi ya sharubati za matunda mbalimbali na hivyo hivyo kuchelewesha uzee. Matumizi ya muda mrefu huwa na manufaa zaidi.
Sharubati na rojorojo zenye kalori nyingi na virutubisho huupa mwili nishati ya kutosha na kusababisha kuongezeka kwa uzito huku mtu akiwa anapata vijenzi vya kiafya.