top of page

Unaweza bonyeza na kusoma kuhusu huduma ya kwanza kwa mtu aliye

 

Kupaliwa

Kuungua

Namna ya kufanya CPR

Kung'atwa nyoka

Aliyezama maji

Aliyevunjika

Kupigwa shoti

Shambulio la moyo

Huduma ya kwanza kwa aliyepigwa Shoti ya umeme

Imeandikwa na daktari wa uly clinic

Kama mtu amepigwa shoti ya umeme, zima  umeme kwenye swichi kuu ili kukata umeme usiendelee kumuumiza aliyepigwa shoti

Endapo huwezi fika kwenye swichi kuu

Usiende karibu na aliyepigwa shoti mpaka uwe na uhakika kwamba swichi ya umeme imezimwa ili usiingie kwenye shoti hiyo wewe pia.

Swichi ikishazimwa na ikiwa aliyepigwa shoti hapumui piga simu namba 112 ili gari la wagonjwa mahututi liche limchukue kwa huduma ya haraka 

Imeboreshwa, 14.08.2020

bottom of page