top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

Madhara ya kutumia dawa za kisukari pamoja na pombe

Dawa hizi zikitumika pamoja na pombe huweza kusababisha kushuka Zaidi kwa kiwango cha sukari mwilini, kutokwa na jasho, kichefuchefu na kutapika, maumivu ya kichwa, mapigo ya moyo ya haraka, kubadilika kwa shinikizo la damu

Baadhi ya dawa hizi ni Insulin, metformin, glyburide na glipizide.

Imeboreshwa 24.02.2020

Rejea za mada

1.BNF 2018

bottom of page