top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, M.D
Mhariri:
Dkt. Sospeter B, M.D
Jumanne, 25 Julai 2023
Pombe na dawa za usingizi

Dawa hizi kwa kawaida huwa na maudhi ya kuleta hali ya kusinzia ambapo ndo msingi wa matibabu ya tatizo la kukosa usingizi. Endapo zitatumiwa pamoja na pombe zinaweza kusababisha dalili za kusinzia, Kizunguzungu, Kuhisi huzuniko kuu, Kushindwa kutembea, Kuharibiwa kwa ini, Madhara makubwa kwenye moyo mfano mapigo ya moyo kwenda ndivyo sivyo na kuruka kwa mapigo la moyo
Dawa kwenye kundi hili zipo nyingi lakini mfano wake ni lithium, dicalproex, lorazepam, alprozalam, diazepam, clonazepam
Imeboreshwa,
25 Julai 2023
Rejea za mada hii:
BNF 2021
bottom of page