top of page

Imeandikwa na madaktari wa ULY CLINIC

Madhara ya kutumia pombe na dawa za kurekebisha hali ya moyo.

 

Dawa hizi kwa kawaida huwa na maudhi ya kuleta hali ya kusinzia ambayo ndo msingi wa kutibu tatizo la kukosa usingizi na hali ya moyo.

 

Endapo zitatumiwa pamoja na pombe zinaweza kusababisha dalili za

Kusinzia, Kizunguzungu, Kuhisi huzuniko kuu, Kushindwa kutembea, Kuharibiwa kwa ini, Madhara makubwa kwenye moyo

 

Dawa kwenye kundi hili zipo nyingi lakini mfano wake ni lithium, dicalproex, lorazepam, alprozalam, diazepam, clonazepam

Imeboreshwa 24.02.2020

Rejea

BNF 2018

bottom of page