Ni torch inayotumika kufanyia uchunguzi wa mwili wa binadamu
Inatumia betri mbili za AAA na hutunza chaji
Inaweza kutumika kama tochi ya kawaida kwa matumizi ya nyumbani
Inaonyesha vipimo mbalimbali za pupil ya jicho hivyo ni rahisi kujua ukubwa wa pupil kwa mgonjwa kwa kulinganisha na ukubwa ulio kwenye tochi hii
Clinical Pen Torch
TZS 17,000.00 Regular Price
TZS 15,028.00Sale Price
Endapo hujaridhika na bidhaa zetu na unataka kurudisha siku zote tunamsikiliza mteja.