Ni imara na ina uwezo wa kusikiliza kwa kutumia diafram na dramu
Inasikiza kwa pande zote mbili
Inatumika kusikilizia mapigo ya moyo, mapigo ya mishipa ya damu, tumbo n.k
Stethoscope
TZS 20,000.00 Regular Price
TZS 17,000.00Sale Price
Endapo hujaridhika na bidhaa mara baad aya kuipokea ndani ya siku saba toa taarifa na kisha kuwasiliana nasi ili kukupanjia ya kurudisha bidhaa na kisha kurejeshewa pesa yako.