top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Charles W, MD

10 Juni 2020 14:42:53

Visababishi vya shinikizo la juu la damu
Visababishi vya shinikizo la juu la damu

Visababishi vya shinikizo la juu la damu

Nini husababisha shinikizo la damu la juu?

Haipatensheni ya sekondari husababishwa na magonjwa malimbali yafuatayo;


Magonjwa ya figo

  • Ugonjwa wa wa figo wa polisistiki

  • Magonjwa sugu ya ya figo

  • Kuziba kwa njia ya mkojo kwa mda mrefu kama

  • Au saratani inayozalisha homoni ya renini

Magonjwa ya mishipa ya damu

  • Magonjwa ya Aota ama koaktesheni ya aota

  • Anurizimu ya aota

  • Ugonjwa wa reno stenosisi


Matatizo/mabadiliko ya kwenye vichochezi vya mwili kama vile

  • Ugonjwa unaoitwa sindromu ya kushing husababisha uzalishaji mwingi au matumizi ya dawa kundi la glucocorticoid kwa muda mrefu

  • Kuzalishwa kwa wingi kwa vichocheo mwili aina ya aldosterone


Matatizo ya mfumo wa fahamu kama vile

  • Saratani ya ubongo

  • Shinikizo la damu la kwenye ubongo


Dawa na sumu ambazo ni

  • Pombe

  • Kokaine

  • Baadhi ya Dawa za saratani

  • Dawa aina ya asprini

  • Nikotini

  • Baadhi ya dawa za kienyeji

  • Homoni ya adrenalini

Sababu nyinginezo

  • Ujauzito

  • Kuzidi kwa madini ya kalisium mwilini

  • Kiwango cha juu au chini cha vichochezi mwili vya tezi ya thairoid au

  • Kiwango cha juu au chini cha vichochezi mwili vya tezi ya parathairoidi

  • Ugonjwa wa slipu apnia

  • Mtoto kuzaliwa na tezi kubwa ya adreno

  • Saratani ya tezi ya adreno fiokromosaitoma

Imeboreshwa,

6 Oktoba 2021 10:44:01

ULY Clinic inakushauri siku zote usichukue hatua yoyote ile inayoathiri afya yako bila kuwasiliana na daktari wako. 

Wasiliana na daktari wa ULY CLinic kwa kubonyeza 'Pata Tiba' au kutumia namba za simu chini ya tovuti hii kwa elimu suhauri na Tiba

Rejea za mada hii,

​

  1. Beckett  NS, Peters  R, Fletcher  AE,  et al; HYVET Study Group.  Treatment of hypertension in patients 80 years of age or older.  N Engl J Med. 2008;358(18):1887-1898.PubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020

  2. SHEP Cooperative Research Group.  Prevention of stroke by antihypertensive drug treatment in older persons with isolated systolic hypertension: final results of the Systolic Hypertension in the Elderly Program (SHEP).  JAMA. 1991;265(24):3255-3264. ArticlePubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020

  3. Institute of Medicine.  Clinical Practice Guidelines We Can Trust. Washington, DC: National Academies Press; 2011. http://www.iom.edu/Reports/2011/Clinical-Practice-Guidelines-We-Can-Trust.aspx. Imechukuliwa 09.06.2020

  4. Staessen  JA, Fagard  R, Thijs  L,  et al; The Systolic Hypertension in Europe (Syst-Eur) Trial Investigators.  Randomised double-blind comparison of placebo and active treatment for older patients with isolated systolic hypertension.  Lancet. 1997;350(9080):757-764.PubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020

  5. Hsu  CC, Sandford  BA.  The Delphi technique: making sense of consensus.  Pract Assess Res Eval. 2007;12(10). http://pareonline.net/pdf/v12n10.pdf. Accessed October 28, 2013.Google Scholar. Imechukuliwa 09.06.2020

  6. Institute of Medicine.  Finding What Works in Health Care: Standards for Systematic Reviews. Washington, DC: National Academies Press; 2011. http://www.iom.edu/Reports/2011/Finding-What-Works-in-Health-Care-Standards-for-systematic-Reviews.aspx. Imechukuliwa 09.06.2020

  7. https://www.uptodate.com/contents/high-blood-pressure-in-adults-beyond-the-basics?topicRef=4415&source=see_link. Imechukuliwa 10.06.2020

  8. https://www.uptodate.com/contents/high-blood-pressure-diet-and-weight-beyond-the-basics.Imechukuliwa 10.06.2020

  9. Hypertension. https://jamanetwork.com/journals/jama/fullarticle/1791497. Imechukuliwa 11.06.2020

  10. Dash Diet- 365 Days of Low Salt, Dash Diet Recipes For Lower Cholesterol, Lower Blood Pressure and Fat Loss Without Medication ( PDFDrive.com )

bottom of page