top of page

Shinikizo la damu

Vipimo kwa mgonjwa mwenye shinikizo la damu la juu

Vipimo kwa mgonjwa mwenye shinikizo la damu la juu

Vipo vipimo vya aina nyingi na hutegemea dalili ulizonazo lakini vipimo hivi huweza kufanyika;
• Kipimo cha kupima shinikizo la damu la juu
• Kipimo cha mkojo au damu kuangalia kazi ya figo na ini na vitu vingine
• Kipimo cha mionzi (x-ray)

Visababishi vya shinikizo la juu la damu

Visababishi vya shinikizo la juu la damu

Haipatensheni ya sekondari husababishwa na magonjwa malimbali kama vile magonjwa ya figo, magonjwa ya mishipa ya damu, mabadiliko ya vichochezi vya mwili n.k

Hatua za shinikizo la damu la juu

Hatua za shinikizo la damu la juu

Shinikizo la juu la damu limegawanywa kwenye makundi mbalimbali yanayotegemea kiwango cha shinikizo la damu.

Aina za shinikizo la damu la juu (Haipatenshen)

Aina za shinikizo la damu la juu (Haipatenshen)

Shinikizo la juu la dmau limegawanywa katika makundi tofauti kulingana na mahitaji ya kitiba. Kundi la kwanza limetokana na visababishi, katika kundi hili kuna aina mbili yaani shinikizo la juu la awali na la pili

Elimu kwa mgonjwa

Elimu kwa mgonjwa

Shinikizo la juu la damu kama lisipopata matibabu huleta madhara makubwa mwilini kama vile kiharusi na moyo kufeli. Miongoni mwa mambo ya msingi katika matibabu ni elimu kwa mgonjwa.

bottom of page