top of page
Pregnant belly

Ujauzito

Kurasa hii ina maelezo mbalimbali kuhusu dawa katika ujauzito na kunyonyesha, mazoezi ya kuleta uchungu, mazoezi ya kuharakisha kujifungua, mazoezi ya kupunguza uchungu na mada mbalimbali za afya kwa mjamzito.

>>>

Mada za ujauzito

Kwanini kuna kurasa hiii?

Kurasa hii ipo kwa malengo ya kutoa ushauri tu dhidi ya mambo mbalimbali. Baadhi ya ushauri unanaweza usiendane na hali halisi ya mwili wako hivyo wasiliana na daktari kabla ya kuchukua hatua yoyote baada ya kusoma makala hizi.

Mahudhurio mazuri ya kliniki na kufuata ushauri unaopewa na watoa huduma huchangia kuimarisha afya ya mama na mtoto tumboni.

bottom of page