top of page

Imeandikwa na Daktari wa ULY CLINIC

Maambukizi ya VVU-UKIMWI

 

Utangulizi

 

UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa Kinga Mwilini, ni ugonjwa unaotokana na maambukizi ya kirusi cha HIV. Kirusi huyu huambukizwa kwa njia ya damu, maambukizi haya hutokea sana wakati wa kujamiiana,  matumizi ya sindano za kuchangia kama kwa watu wanaotumia  madawa ya kulevya au hospitali pamoja na mtu aliyeathirika n.k, maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kuzaliwa au wakati wa akiwa tumboni.

 

Maambukizi ya HIV husababishwa na virusi aina ya HIV1 au HIV2 ambao wapo kwenye familia ya virusi wanaoitwa Retroviridae na genus ya lentivirus.

Dalili na ishara ya maambukizi ya VVU

 

Mgonjwa mwenye maambukizi ya VVU anaweza kupata dalili zozote zinazotokana na hatua ya ugonjwa aliyonayo. Hakuna dalili za pekee za  ambazo ni lazima ziwe zinamaanisha mtu ana ugonjwa huu tu, dalili za kimwili ni zile ambazo zinaonekana endapo mtu ataonyesha dalili za kuonekana kwa macho kwenye mwili wake.

Endelea kusoma kwa kutumia email yako tu

Zipi ni dalili za ukimwi? Dalili za ukimwi huanza muda gani? Dalili za ukimwi huchukua muda gani? Dalili za gonjwa la UKIMWI? Dalili za ukimwi? dalili za mepema za UKIMWI, dalili za HIV positive, dalili za HIV, Dalili za HIV/AIDS, dalili za haraka za ukimwi.

ULY- Clinic inakushauri siku zote kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua uamuzi wowote ule.

Wasiliana na daktari wa ULY clinic ushauri na tiba popote pale ulipo kwa kubonyeza hapa au kupiga namba za simu chini ya tovuti hii

Imboreshwa 04.07.2020

bottom of page