top of page
Kupata tiba
Anza kutumia huduma za afya za ULY Clinic ikiwa pamoja na kuweka miadi na daktari, kupata tiba, kuandikiwa cheti cha dawa n.k kwa kupakua application ya ULY Clinic.
Chagua matibabu
Magonjwa
Baadhi ya magonjwa unaweza pata tiba yake ni Kipanda uso, Vidonda vya tumbo, Magonjwa ya moyo, Magonjwa ya mfumo wa fahamu, Maumivu ya miguu usiku, Kisukari, Fangas ukeni, Miwasho sehemu za sir, Magonjwa ya zinaa-kaswende-kisonono, Maumivu ya kichwa, Maambukizi mfumo wa mkojo UTI, Taifodi, Malaria, Shinikizo la juu la damu, Maambukizi masikioni na Usaha kutoka masikioni
bottom of page