Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Benjamin S, MD
Dkt. Lugonda, MD
3 Novemba 2021, 12:49:53
Kipandikizi chini ya ngozi
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii
Imeboreshwa,
Tarehe mwezi na mwaka na saa
ULY clinic inakushauri siku zote ufuate ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia mawasiliano yetu.
Rejea za mada;
Kipandikizi hutoa vichochezi-hormoni za estrogen na progesterone, huwekwa chini ya ngozi maeneo ya mkono, makalio au tumbo. Kama upo kwenye hatari ya kuganda damu unatakiwa utafute njia nyingine ya uzazi wa mpango. Kipandikizi hutoa asilimia 60 zaidi ya kichochezi cha estrogeni zaidi ya dawa za uzazi wa mpango hivyo upo kwenye hatari ya kupata matatizo ya damu kuganda kama unatumia njia hii. Kipandikizi huweza kukaa hadi miaka mitatu kikiwa kinafanya kazi na huzuia mimba kwa asilimia 100.