Vipele vya UKIMWI husababishwa na maambukizi ya VVU, maudhi ya dawa za UKIMWI, magonjwa nyemelezi ya UKIMWI sambamba na saratani zinazoambatana na UKIMWI.
Zaidi ya wanawake 65 kati ya 100 hawapati mzunguko wa hedhi wa siku 28. Kama mzunguko wako unabadilika kila mwezi na upo ndani ya siku 21 hadi 32, usihofu wala kutafuta tiba kwa kuwa ni wa kawaida.
kwa ujumla utoaji mimba wa kupanga unaonekana kutosababisha sana na madhara kwenye mimba zinazofuata. Hata hivyo kuna mahusiano kati ya kutoa mimba na kupata mtoto njiti au kujifungua kabla ya umri ujauzito.
Huanzia wiki ya 28 hadi 40 ya ujauzito na huwa kipindi cha mwisho cha safari ya ujauzito. Kijusi hukua kutoka urefu wa sentimita 23 kufikia 48 hadi 53 na kuongezeka uzito kutoka gramu 820 hadi kilo 2 hadi 4.
Huanzia wiki ya 13 na kuisha wiki ya 27 ya ujauzito. Kipindi ni katikati ya safari ya ujauzito, kijusi hukua kutoka urefu wa sentimita 7.5 hadi 23 na kuongezeka uzito kutoka gramu 30 hadi 820. Kichefuchefu