top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Salome A, MD

Jumatano, 13 Januari 2021

Kaswende kwa mtoto akiwa tumboni

Kaswende kwa mtoto akiwa tumboni

Magonjwa ya mama katika ujauzito kama kaswende huweza kumpata mtoto akiwa tumboni. Pima na pata tiba kujikinga wewe na mwanao tumboni.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

19 Julai 2023, 20:43:21

Rejea za mada hii:

bottom of page