top of page

Vidokezo vya Afya

Nyoa sehemu za siri bila kupata vipele na muwasho

Nyoa sehemu za siri bila kupata vipele na muwasho

Ukitumia njia sahihi kunyoa sehemu za siri utaepuka kupata vipele na muwasho, baadhi ya mambo ya kuzingatia ni kutotumia kiwembe tupu, kutonyoa mara kwa mara na kutotumia kiwembe butu.

Mbinu za kufanya mtoto anywe dawa

Mbinu za kufanya mtoto anywe dawa

Kuigiza unakunywa, kutumia chombo tofauti cha kumnyweshea, kuchanganya na chakula au kubadilli njia ya kutoa dawa ni baadhi ya mbinu za kumfanya mtoto anywe dawa.

Maumivu ya tumbo kwenye ujauzito

Maumivu ya tumbo kwenye ujauzito

Maumivu ya tumbo kwenye ujauzito ni kawaida kutokea na huisha bila matibabu, hata hivyo baadhi ya nyakati yanaweza kuashiria uwepo wa tatizo fulani la kiafya linalohitaji matibabu.

Kucheua kwa watoto

Kucheua kwa watoto

Kucheua kwa watoto ni hali ya kawaida inayotokea muda mfupi baada ya kunyonya. Hata hivyo wakati mwingine huashiria tatizo kubwa hususani ikiambatana na dalili nyingine kama kutokuongezeka uzito n.k.

Klamidiasisi huonekana baada ya muda gani?

Klamidiasisi huonekana baada ya muda gani?

Kutokwa na ute mweupe kwenye uume au uke unaoambatana na maumivu wakati wa kukojoa au hedhi katikati ya vipindi ni miongoni mwa dalili zinazoonekana siku ya 7 hadi 28 tangu kushiriki ngono zembe.

bottom of page