Mwandshi:
ULY CLINIC
21 Jul 2021
Gt
Gt kirefu chake ni nini?
Gt katika tiba ni kufupisho cha neno la Kilatini ‘gutta’ lenye maana ya ‘tone’.
Vifupi vinavyoashiria Gt
Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia vifupisho vifuatavyo vyenye maana sawa na Gt.
gts- humaanisha tone (moja)
gtt limetokana na neno la kilatini 'guttae'- humaanisha matone (zaidi ya moja)
ULY CLINIC inakukumbusha siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri zaidi na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote binafasi inayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya 'Pata tiba' Au 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
15 Agosti 2023 18:06:17
1. https://medical-dictionary.thefreedictionary.com/gt. Imechukuliwa 20.07.2021
2. Abbreviations used in prescriptions. https://catalog.hardydiagnostics.com/cp_prod/Content/hugo/AbbreviationsUsedInPrescriptions.htm. Imechukuliwa 21.07.2021