Kikokoteo cha tarehe ya kujifungua na umri wa ujauzito
​
Maelezo ya namna ya kukokotoa
​
Weka chagua mwezi, tarehe na mwaka wa siku ya kwanza ya kuanza hedhi yako ya mwisho, kisha chagua idadi ya Siku za mzunguko wako wa hedhi moja hadi nyingine( mfano ni siku 22, 26, 28, 30, 32 n.k). Baada ya kujaza bofya Calculate na soma majibu kwa kulinganisha na aya zilizoandikwa hapo chini
Maelezo kuhusu majibu ya kikokoteo cha tarehe ya kujifungua hapo juu baada ya kuingiza taarifa zako na kufofya 'calculate'
​
Utakapotumia kikokoteo hicho hapo juu, utapata majibu kwenye aya tatu hadi nne ya majibu ambayo yameandikwa kwa lugha ya kiingereza. Majibu yako yaliyotokea yatafsiri hapa chini kwa kufananisha aya ya kwanza hadi ya tatu au nne zilizotokea baada ya kubofya 'calculate'
​
Aya ya kwanza inamaanisha kwamba, endapo hujuapata mimba utaingia hedhi inayofuata kuanzia tarehe ilioonyeshwa kwenye aya ya kwanza.
​
Aya ya pili inamaanisha kuwa endapo huna ujauzito tarehe yako ya siku za hatari inatarajiwa kuwa kati ya tarehe zilizoorodheshwa kwenye aya ya pili.
​
Aya ya tatu unamanaisha, endapo umepata ujauzito tarehe yako ya matazamio ya kujifungua itakuwa kwenye tarehe hiyo iliyotajwa kwenye aya ya tatu.
​
Aya ya nne ambayo wakati mwingine haionekani kwenye baadhi ya tarehe utakazoingiza inamanisha, endapo umepata ujauzito, ujauzito wako utakuwa na umri wa wiki zilizotajwa hapo kwenye aya ya nne.
​
Soma zaidi kuhusu